comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 3,411
- 4,435
Hamna namna nyengine wapigwe tu.natamatani wapigww hata 5.
kipara anajiona mjuaji sana.
angejijua asingerudi, amekuja kujidhalilisha.
piga haooView attachment 1220940
wapigwe sana hapo badoHamna namna nyengine wapigwe tu.
timu hamna paleWapigwe sana
Zizu aandae mabegiMadrid uharo
kabisaZizu aandae mabegi
Ungekua unaisapoti Yanga wallah ile nyumba yetu ya urithi pale k'koo ningeruhusu iuzwe ili pesa nitumie naweTena goli zote mbili wamefungwa na mNigeria
Ila watapindua meza tu (alisikika shabiki wa madrid in shabiki wa yanga's voice)
Nitumie tu hiyo ela kama ukiuza π π πUngekua unaisapoti Yanga wallah ile nyumba yetu ya urithi pale k'koo ningeruhusu iuzwe ili pesa nitumie nawe
cha pili naona hawa madogo wa club brugge wameshadevela, meza inaweza Ikapinduka kweliTena goli zote mbili wamefungwa na mNigeria
Ila watapindua meza tu (alisikika shabiki wa madrid in shabiki wa yanga's voice)
Yanga na ccm wapi na wapi!Nitumie tu hiyo ela kama ukiuza π π π
Sijui kwanini naifananisha yanga na CCM...ni ngumu sana kusapoti yanga