music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 500
- 888
Wale wapenda kunukia vizuri.
Naomba experience yenu
Club de Nuit intense Man VS Club de Nuit Blue Iconic.
Hipi ni nzuri zaidi?
Basi mimi nikajua ni thread ya hizi club zenu za mizikiHakuna perfume kwa wakati huu inayoizidi club de nuit intense men. Labda brand tu ila kunukia vizuri utulivu na msisimko hakuna km CDNIM
BEi ndo Milion 2?Wale wapenda kunukia vizuri.
Naomba experience yenu
Club de Nuit intense Man VS Club de Nuit Blue Iconic.
Hipi ni nzuri zaidi?
Zipo nyingi sana ila inategemea ,mimi natumia perfume tofauti japo sio original ..Yaani siwezi kununua perfume mara mbili ...Ndani ya mwaka mmojaHakuna perfume kwa wakati huu inayoizidi club de nuit intense men. Labda brand tu ila kunukia vizuri utulivu na msisimko hakuna km CDNIM
Ukinuka jasho wewe inatosha.Hehehehe mwanaume unadiscuss perfume....unanukia ili iweje wakati ukifanya kazi unatoka jasho
Nishaijaribu creed, shida ni longitivityIntense Man ni copy ya Creed, hii Creed za kupima tu ni umeme, hiyo OG itakuwa ni moto wa kuotea mbali.