mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,222 Reaction score 4,689 Jun 9, 2016 #1 Nimepata mgeni nataka kumzungusha kdg sasa huu mwezi ni mgumu places nyingi Dsm zimefungwa kupisha ramadan. Mwenye kufahamu club ambayo naweza kwenda leo ambayo inaendelea kuwa wazi no matter ramadan.
Nimepata mgeni nataka kumzungusha kdg sasa huu mwezi ni mgumu places nyingi Dsm zimefungwa kupisha ramadan. Mwenye kufahamu club ambayo naweza kwenda leo ambayo inaendelea kuwa wazi no matter ramadan.
Xplorer JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 607 Reaction score 857 Jun 9, 2016 #2 msikiti ndio club ambayo iko wazi mwezi huu saa zote.
mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,222 Reaction score 4,689 Jun 9, 2016 Thread starter #3 Xplorer said: msikiti ndio club ambayo iko wazi mwezi huu saa zote. Click to expand... Msikiti sio club acha kashfa kwenye iman za watu.
Xplorer said: msikiti ndio club ambayo iko wazi mwezi huu saa zote. Click to expand... Msikiti sio club acha kashfa kwenye iman za watu.
F filonos JF-Expert Member Joined Oct 13, 2011 Posts 646 Reaction score 137 Jun 9, 2016 #4 nenda JOLLY
swissme JF-Expert Member Joined Aug 15, 2013 Posts 13,663 Reaction score 19,894 Jun 9, 2016 #5 look at you always unaandika pumba. swissme
Manyabuluba JF-Expert Member Joined Nov 6, 2015 Posts 371 Reaction score 381 Jun 9, 2016 #6 Nemda Shibiliti Club mkuu
mr gentleman JF-Expert Member Joined Aug 1, 2012 Posts 3,222 Reaction score 4,689 Jun 9, 2016 Thread starter #7 Manyabuluba said: Nemda Shibiliti Club mkuu Click to expand... KMLMYK