Club gani ya usiku hapa dar ambayo inafaa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka?

Blue14

Member
Joined
Mar 27, 2024
Posts
10
Reaction score
16
Habari wakuu!

Kama tunavyojua kuwa tupo mwishoni kukamilisha hesabu za kumaliza mwaka 2024,

Kutokana na hilo naomba kufahamishwa maeneo ya starehe hasa club za usiku ambazo zimesheheni aina mbalimbali za starehe, kama vile pombe, wanawake wazuri kwa bei elekezi na muziki wa uhakika, ambavyo vitanifanya niumalize huu mwaka kwa kuenjoy

Nb: vipengele vya kuzingatia ni Jina la club, Location na gharama

Nawasilisha
 
IMG_20241214_224805.jpg

Njoo chimbo jipya la the voice tabata kinyerezi.

Hutajuta
 
Habari wakuu!

Kama tunavyojua kuwa tupo mwishoni kukamilisha hesabu za kumaliza mwaka 2024,

Kutokana na hilo naomba kufahamishwa maeneo ya starehe hasa club za usiku ambazo zimesheheni aina mbalimbali za starehe, kama vile pombe, wanawake wazuri kwa bei elekezi na muziki wa uhakika, ambavyo vitanifanya niumalize huu mwaka kwa kuenjoy

Nb: vipengele vya kuzingatia ni Jina la club, Location na gharama

Nawasilisha
We nae wakuja tu inaonekana una kamba mguuni, ni KUKU MGENI, kweli apa dar uje kuuliza chimbo gani, hadi mtaani kwako machimbo yapo tena makali kuliko ya uko mkoani kwako. Hela unayo tukueleze km unavouliza, au una mil 5 umeuza ng'ombe pugu afu unauliza chimbo, apa watu kutumia mil 10 usiku mmoja kawaida jichunguze na utafàkari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Duh! Kazi ipo
 
Back
Top Bottom