Hili bonge la chimbo Mkuu, Jana nilikua hapo
We nae wakuja tu inaonekana una kamba mguuni, ni KUKU MGENI, kweli apa dar uje kuuliza chimbo gani, hadi mtaani kwako machimbo yapo tena makali kuliko ya uko mkoani kwako. Hela unayo tukueleze km unavouliza, au una mil 5 umeuza ng'ombe pugu afu unauliza chimbo, apa watu kutumia mil 10 usiku mmoja kawaida jichunguze na utafàkari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari wakuu!
Kama tunavyojua kuwa tupo mwishoni kukamilisha hesabu za kumaliza mwaka 2024,
Kutokana na hilo naomba kufahamishwa maeneo ya starehe hasa club za usiku ambazo zimesheheni aina mbalimbali za starehe, kama vile pombe, wanawake wazuri kwa bei elekezi na muziki wa uhakika, ambavyo vitanifanya niumalize huu mwaka kwa kuenjoy
Nb: vipengele vya kuzingatia ni Jina la club, Location na gharama
Nawasilisha
Duh! Kazi ipoWe nae wakuja tu inaonekana una kamba mguuni, ni KUKU MGENI, kweli apa dar uje kuuliza chimbo gani, hadi mtaani kwako machimbo yapo tena makali kuliko ya uko mkoani kwako. Hela unayo tukueleze km unavouliza, au una mil 5 umeuza ng'ombe pugu afu unauliza chimbo, apa watu kutumia mil 10 usiku mmoja kawaida jichunguze na utafàkari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
saw saw mkuu vp naweza kupata sifa zakeHili bonge la chimbo Mkuu, Jana nilikua hapo
Naam....Hili bonge la chimbo Mkuu, Jana nilikua hapo
Mbususu zipo mzeeNaam....
Wakijitahidi Ku maintain itakuwa vema saana. Isije kuwa mambo ya chimbo jipya
Zipo zakutosha mzee ela yako tuuu...Mbususu zipo mzee
Kinyerezi sehemu gani Wikiend hii niende nikaone vya usikuZipo zakutosha mzee ela yako tuuu...
It's opposite to kinyerez hospital near kinyerez primary, secondary maeneo Yale...Kinyerezi sehemu gani Wikiend hii niende nikaone vya usiku
Hii bado ipo?Nenda Kidimbwi!