Nyakarungu JF-Expert Member Joined May 1, 2011 Posts 472 Reaction score 377 Aug 20, 2016 #1 Wakuu mwenye kujua namna ya kusajili club ya soka tz anipe mwanga, ili uwe na club ilosajiliwa unatakiwa upitie njia zipi na vigezo gani ili hata uweze kushiriki ligi za tz
Wakuu mwenye kujua namna ya kusajili club ya soka tz anipe mwanga, ili uwe na club ilosajiliwa unatakiwa upitie njia zipi na vigezo gani ili hata uweze kushiriki ligi za tz
PAGAN JF-Expert Member Joined Aug 19, 2014 Posts 12,181 Reaction score 20,148 Aug 20, 2016 #2 Kama vipi kodisha Yanga tu.