club ya mbunge Maji Marefu yatumika kutapeli

Nas Mapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Posts
5,286
Reaction score
5,421
Huu ni upuuzi uliopitiliza wakati watu wakitafuta mahala pa kwenda kula bata usiku wa christmas maeneo ya Korogwe kumetokea tukio la kuudhi na kukera kwenye ukumbi ujulikanao kama Mamba club wakishirikiana na watangazaji wa Tanga kunani, tk fm kwa kuwatangazia wakazi wa Korogwe kuwa kutakuwa na show kali kutoka kwa dogo Aslay hali iliyopelelekea watu kujaa ndani ya ukumbi lakini cha kushangaza msanii huyo hakutokea na matokeo yake watu wakaishia kulalamika wasijue wa kumshika,ishu hii pia wamwshirikiana na kituo kimoja cha redio kinachojulikana kama voice of africa nisahihishe kma jina hilo nimekosea,kituo hicho ambacho ni cha pekee kwa mji huu kilitumika kutangaza ishu hiyo hivyo watu kuamini jambo hilo.

Naomba Nape na wahusika wote haswa dogo Aslay kufuatilia jambo hili ambalo si zuri kwa msanii yeyote wenzetu hii ni kesi,mabango yapo hadi leo.
 
Last edited by a moderator:
Ulipouliza kama kuna kitu kimetokea walisemaje?

Je ulilipia kiingilio na kutangaziwa kuwa haji kutumbuiza?

Sasa ni saa nne uliangalia show inaanza saa ngapi?
 
Tafadhali weka picha ulipo sababu kila mtu anaeza anzisha uongo.

Umeongea mengi juu ya ukumbi huo.
 
Tafadhali weka picha ulipo sababu kila mtu anaeza anzisha uongo.

Umeongea mengi juu ya ukumbi huo.

mkuu siwezi ongea uongo kwa jambo hili mana sina nnachopata ila jamaa wanatapeli sana watu wa kor jaribu kuulza watu wa mji huu
 
mkuu siwezi ongea uongo kwa jambo hili mana sina nnachopata ila jamaa wanatapeli sana watu wa kor jaribu kuulza watu wa mji huu

Pole

Au ndio ile ya kulipa kuingia na kusubiri msanii hatokei. Na pesa hawakurudisha nadhani.

Maelezo yako hukueleza vizuri kihivyoooo.
 
...asa mbunge anaingiaje hapa, sheikh?
...mshapigwa,kuweni wapole!
..nukta!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…