Hahah MimbaAcha kukariri kiazi wewe......simba sio ya mbereko
RAGE aliwaita MAMBUMBUMBUNdala bana..yanga hakuna mchezaji wa maana kama Ajib
Hahahaah Huyu mtoa mada sijui vipi![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yaan nme cheka adi nmefukiza mwiz maana alijua nimelala