Timu ya Singida United inayoshiriki ligi kuu imetangaza kusaka wenye vipaji,na inakaribisha watu wenye vipaji popote Tanzania,wataojitokeza watafanyiwa majaribio kwa siku 5 kuanzia tar 12 mwezi huu.Yeyote atakayetaka kushiriki ajitegemee kwa gharama za siku tano,usafiri,malazi na chakula pia.
Wakuu fursa hiyo .