IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,023
Kwa dunia ya wenzetu mpira ni biashara,ligi zao zinawadhamini,club zina zinaingia mikataba na kampuni kubwa km adidas na n.k.
Pia clubu wanauza wachezaji kwa gharama kubwa.l
Swali najiuliza kwa club za mpira Tz
1.hakuna wazamini
2.club hazina endorsement Kubwa za makampuni.
3.matumizi makubwa kuliko wanachoingiza.
Mfano simba wanaingia mkaba na kocha mshahara mil8 kwa mwezi,plus allowance,wananunua wachezaji kwa bei kubwa ,maadilio ya usajiri yanafikia 1 bilioni,hapo bado gharama za kuendesha timu,MTU km Mo anapata VP faida.
Timu km ndanda,mtibwa matumizi yao ni 15+ kwa mwezi hii pesa inarudi VP?
Nina mashaka kuna jambo nyuma ya pazia so bure .