Cluster bombs ndio zilitumika kukomboa eneo la Urozhaine, Warusi wengi waliuawa wakitoroka

Ukraine’s Cluster Munitions Backfire On The Battlefield - UN Representative

The weapons do not give Kiev any advantage on the battlefield, and Washington’s assurances that they will not be used in violation of international law are an outright lie, Dmitry Polyansky, First Deputy Permanent Representative of Russia, told the UN Security Council.

Washington "for decades has moralized and branded as war criminals all those who used this type of ammunition,” he said.

“It turns out that in your own logic, Zelensky and his accomplices are war criminals, and you are his direct accomplices, sharing full responsibility for his committed and future atrocities,” Polyansky added.

Subscribe to RT

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Hakika
 

Haya mavitu mtaandika andika ila Mrusi analiwa na cluster bombs zaidi ya balaa.
 
akitumia Ukraine ni sawa, akitumia Russia kelele zinaanza kwamba hizo silaha hazirusiwi [emoji23][emoji23]
nan atamlaumu kama akitumia nchini kwake ? au ww ulitaka atumie wap? Ukraine ? bado unaona ni sw ? ebu kuweni na akili timamu , imagine kenya angevamia Tz ungekenua kaa ufanyavyo ss hv ?
 
Kwa nini hao askari walikuwa wanakimbia huku wakipita barabarani peupe mpaka huku tunawaona?

Kwa nini wasingekuwa wanakatisha vichakani wakiwa wamevaa majani ili wasionekane kirahisi?

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Vichakani unaambiwa hawakupita ili kukwepa mabomu ya aridhini ambayo mrusi mwenyewe alitega.
 
akitumia Ukraine ni sawa, akitumia Russia kelele zinaanza kwamba hizo silaha hazirusiwi 😂😂
Ukraine wanatumia" cluster munitions"Kwa sababu Urusi wamefukia mabomu ya ardhini,ambayo pia imepelegwa marufuku.Sasa kuwatimua maeneo hayo Kwa hiyo" cluster munitions" ndio njia sahihi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…