CM trading ni kitu gani

CM trading ni kitu gani

Tundazuri

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,932
Reaction score
2,525
Jaman marafiki zangu, nilikutana na habari sijui ni za kweli au uongo kwamba Rais amezungumzia CM trading kwa kuinvest laki 7 sawa na dollar 300.

Nikaingia kwenye website nikajaribu kufanya usajili, basi nikapigiwa simu kutoka SA. Kumbe zile information walikuwa wanaziona. Yule mtu alitaka nijaza mpaka nifikia kiasi cha kuingiza details zangu za bank nikasita nikakata simu. Sasa from there, nikawa napigiwa simu tofauti tofauti hadi ya kenya ndio nikahisi kutakuwa na kautapeli hapaa hahaha.

Swali langu ni kwamba, je kuna mtu anaejua hii issue?

Ahsanteni sanaa
 
Mpaka hapo umeshatapeliwa, wamekutapeli kwa kujipatia taarifa zako bure.
 
Jaman marafiki zangu, nilikutana na habari sijui ni za kweli au uongo kwamba Rais amezungumzia CM trading kwa kuinvest laki 7 sawa na dollar 300.

Nikaingia kwenye website nikajaribu kufanya usajili, basi nikapigiwa simu kutoka SA. Kumbe zile information walikuwa wanaziona. Yule mtu alitaka nijaza mpaka nifikia kiasi cha kuingiza details zangu za bank nikasita nikakata simu. Sasa from there, nikawa napigiwa simu tofauti tofauti hadi ya kenya ndio nikahisi kutakuwa na kautapeli hapaa hahaha.

Swali langu ni kwamba, je kuna mtu anaejua hii issue?

Ahsanteni sanaa
Rais gani amezungumzia CM trading?
 
Back
Top Bottom