Habari wakuu!!!
Ninaomba mtu yeyote aliyewahi kuugua CML-chronic myeloid leukaemia au anaumwa ugonjwa huu au kama unamfahamu mtu yeyote mwenye hili tatizo uni PM
Mpaka sasa nimejitaidi kupata idadi ya watu wasio pungua 30 ila naomba kama kuna mwingine usisite kuwasiliana na mimi..
Dhumuni ni kufahamia na kukiendeleza kikundi cha CML-patients Group hapa kwetu Tanzania ambacho kitatusaidi kusaidiana kimawazo haswa kiafya na jinsi ya kusaidia wengine na mambo mengine mengi ambayo tutajadiliana tukiwa pamoja
Asanteni sana..