Hiyo Modem yako itakusaidia kwa Airtel au Voda sababu wanatumia mfumo unaofanana. Zantel wanatumia Modem za CDMA ambazo ndizo zenye speed ya kuridhisha
Mkuu Zantel wana aina Mbili ya Data Service Provision , Wana GPRS na wana EVDO (Ambayo ina speed kubwa) sasa ukitumia Moderm ya Airtel ukaweka Line ya zantel unakuwa Connected na GPRS ambayo iko slow sana, so ili ufurahie Zantel nunua Modem ya Zantel yenye EVDO capable