Wame verify tulizokuwa tunazijua kwamba sio AI na pia imekwenda international na nafikir wamekili kwamba hyo n sehemu ya vtu vingi vilivyotokea wakati nchi Iko gizani,Upo sahihi na ndio maana nikatoa angalizo kwamba sikejeli, dharau au kudogosha report yao.
Ila ninajiuliza kwamba kwa uwezo wa teknolojia, wafanyakazi, pesa, uzoefu n.k walivyonavyo CNN wangetoa report yenye taarifa za kina zaidi kuliko kutoa taarifa zile zile tulizokua nazo watu wa kawaida kabla.
Kwa hiyo ni muhimu sote kujiuliza malengo ya kila report inayotolewa sasa kipindi kama hiki.
Inawezekana walicho report ni sehemu ndogo ya maafa makubwa yaliyotokea kwa ndugu zetu watanzania
Wame verify tulizokuwa tunazijua kwamba sio AI na pia imekwenda international na nafikir wamekili kwamba hyo n sehemu ya vtu vingi vilivyotokea wakati nchi Iko gizaniUpo sahihi na ndio maana nikatoa angalizo kwamba sikejeli, dharau au kudogosha report yao.
Ila ninajiuliza kwamba kwa uwezo wa teknolojia, wafanyakazi, pesa, uzoefu n.k walivyonavyo CNN wangetoa report yenye taarifa za kina zaidi kuliko kutoa taarifa zile zile tulizokua nazo watu wa kawaida kabla.
Kwa hiyo ni muhimu sote kujiuliza malengo ya kila report inayotolewa sasa kipindi kama hiki.
Inawezekana walicho report ni sehemu ndogo ya maafa makubwa yaliyotokea kwa ndugu zetu watanzania
Jibu zuri sana, na nashukuru kwa kuniongezea kitu kwamba CNN wamesaidia ku verify tetesi zilizokuwepo.Sawa zilikuwa ni tetesi ila cnn wame varify zaidi kwa kuonesha picha ya eneo kabla na sasa....yaani kwasasa ni uhakika ukichimbua ardhini utakuta miili ya watu!
Ungeelewa nilichoandika usingeandika hivyo,Punguza shobo, hukuwachangia hata senti. Sie tumeridhika nayo, kama unataka yenye mambo mapya zaidi ongea na Riyoba wa TBC mtengeneze ya kwenu
Tetris na confirmation, scientific confirmation ni vitu viwili tofautiInaweza ikawa mpya kwako, ila hizo tetesi zilikuwepo mda mrefu na tetesi nyingine ilihusisha kiwanda Cha Twiga cement,
Kuna Uzi humu JF ukahoji kwamba kwanini wajerumani wameruhusu kiwanda Chao kutumika kufanyia uovu?
Ni kweli aina shaka, lakini report haijareport jambo kubwa sana ambalo halikua linafahamika na WA Tanzania,🤣🤣
Ripoti Iko vizuri tu mbona sioni kama Iko na shaka yoyote
Kesho inshallah nauletaTunasubiri mrejesho wako
Hakuna fantasy, theory au chochote ila ni Hali ya kawaida ya uelewa wa kibinadamu kuhoji kwenye Hali yenye utata kama hii kuhusu taifa letu.5
Mnarudia rudia 'report ya kina' ni kama Mna fatancy fulani au tuseme theory mnataka kusema Ila mnashindwa kuwasilisha.
Wewe bwana, umezoea kuangalia movie sana, sio kila kitu ni movie za Van DameKwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani.
Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors
Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina taarifa zenye utafiti wa kina na Hali ya juu kuhusu mauaji ya kinyama yaliyofanywa na utawala huu uliopo nchini Tanzani, lakini nyingi ya taarifa mlizotoa ni zile ambazo tayari tulikua nazo kabla mfano jambo la makaburi ya halaiki, mochwari n.k
Nimeandika haya sababu inawezekana haya mauaji yaliyofanywa ni makubwa na mlicho toa report ni asilimia chache za ukweli wa kilichotokea kwenye mauaji ya vijana wetu.
Swali lingine ninalojiuliza, inakuwaje report itolewe Leo na siku hiyo hiyo anatokea mtu wa serikali ovu anasema kwamba wataitolea maelezo, je ni kwamba walishajiandaa na report aina hiyo?
Lengo langu sio kukejeli, kuikataa au kudogosha report yenu ila ni kujiuliza hasa malengo ya hiyo report kwenye wakati kama huu ambao taifa lipo kwenye wakati mgumu.
Mengi ya mambo mliyo report ni tayari yalikua yanazungumzwa katika namna mbalimbali, hivyo nilitegemea kwa uzoefu wenu mngeenda mbali zaidi na kutoa report ambayo Ina uchambuzi wa kiteknolojia ulio mkubwa na utafiti wa hayo mauaji makubwa yaliyotokea kwa watanzania.
Ndugu watanzania naomba tuelewane kwamba taifa lipo kwenye wakati mgumu sana, hivyo tuwe makini na taarifa zote zinazotolewa kipindi hiki,
pia ninawapongeza CNN kwa hicho walichoonesha kwa Dunia kuhusu mauaji ya kikatili kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu, ila inawezekana walichoreport ni sehemu ndogo ya uhalisia wa ukatili, mauaji n.k yaliyofanyika kwa watanzania.
Nadhani mashirika na taasisi za nje hawajapewa access ya kupata taarifa kutokea field ndio maana, Larry madowo aliomba shuhuda na videos ili watoe kitu kitachowezekana.Inaweza ikawa mpya kwako, ila hizo tetesi zilikuwepo mda mrefu na tetesi nyingine ilihusisha kiwanda Cha Twiga cement,
Kuna Uzi humu JF ukahoji kwamba kwanini wajerumani wameruhusu kiwanda Chao kutumika kufanyia uovu?