PostGE2025 CNN, kwanini mmeleta report isiyokua na jambo jipya?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
hiyo habari inalenga kuwafungua dunia na sio kuwaharisha nyiny ambao mmeona kila kitu na kuna mipaka ya utoaj habar mengine yatawacost kama taasisi
 
Kila nikijaribu kumuelewa mtoa mada simuelewi....
Nachoka mimi mjukuu wa Clemence Mwandambo
 
Embu tutolee wewe iyo Report Yako ambayo ni outstanding one bwana mjuaji
 
Soma vizuri bandiko langu, kwa sasa tunatakiwa kuhoji hizo report au documents ila kujua uhalali wake ili kuepuka propaganda, hujuma, fitina zinazoweza kuaminishwa kwa Dunia.
Hatusemi kwamba CNN wamekosea
 
hiyo habari inalenga kuwafungua dunia na sio kuwaharisha nyiny ambao mmeona kila kitu na kuna mipaka ya utoaj habar mengine yatawacost kama taasisi
Okay, umeeleweka ndugu.
 
Inaweza ikawa mpya kwako, ila hizo tetesi zilikuwepo mda mrefu na tetesi nyingine ilihusisha kiwanda Cha Twiga cement,
Kuna Uzi humu JF ukahoji kwamba kwanini wajerumani wameruhusu kiwanda Chao kutumika kufanyia uovu?
Watanzania tunapenda umbeya Sana na tusipoangalia tutaishia kama wasomali ...hapo twiga tuna rafiki zetu wengi wanafanya kazi pale mbona hawajatwambia chochote? Hata kapicha kamoja Tu hamna. Leo umeona kieneo kimelimwa toka juu Kwa mbali ushaconfirm ni makaburi hivi unadhani serikalini kuna mbumbumbu kama wewe? Amka kijana ni kweli serikalini kuna ombwe la kiuongozi lakini tusikubali kuchoma nchi yetu ...hakuna Tanzania nyingine hii ikiungua.
 
Mkuu Hiyo Documentary imeandaliwa mostly kwa watu nje ya Tanznia ambao hawajui kinacho endelea kwakua mambo yalifanyika gizani
Kama ni hivyo na iwe hivyo kweli sababu inawezekana walicho report CNN ni 10% ya ukatili, mauaji n.k yaliyofanywa kwa watanzania wenzetu
 
Kichaa wewe
 
... habari za kulogotelezalogoteleza ulitegemea nini?
Anyway, wametuonyesha makaburi ya Kondo!
 
Chombo kikubwa kama CNN kwnye habari kinatoa briefing tu, kumbuka kinabeba habari za dunia nzima, hawezi kuweka report ya lisaa zima ya Tanzania tu kwnye habari ila trust me wana habari kubwa sana na hayo mapya unayoyataka ila naamini wanatatoa documentary yenye muda wa kutosha na details au special report baadaye. Kwnye habari ni kwamba wanaijulisha dunia briefly touching emotional parts tu ili wahusika wanaohitaji details waingie kazini au dunia ijue tu mengine yafuate
 
Ni habari mpya kwa ulimwengu from trusted source

Otherwise it was just rumors..
Their are telling the world about your situation...

Appreciate..
CNN sio trusted source , ondoa hilo neno.

Au unafikiri kila anachokisema mzungu ni kweli??

Trump anawajua hao na huwa anawaambia na alishawahi kutaka kuwaondoa kwenye press zake.
 
Ndio mimi mzima, zungumza nauli kuhusu USA, UK n.k sio huko matopeni Uganda
Unaona ulivyo bwege umejidhihirisha waliokutuma ...unataka uwaachie msala ndugu zako masikini WA mwakaleli na kiwira uwaachie wapambane na serikali halafu unajua utakimbilia Kwa bwana zako USA waliokutuma.
SASA ni hivi ikiwezekana wale jamaa wenye kofia nyeusi warudi tena tarehe 9 uliwe kichwa ukitoa pua yako nje
 
Kichaa kama wewe ni wa kupuuzwa tu.
 
CNN sio trusted source , ondoa hilo neno.

Au unafikiri kila anachokisema mzungu ni kweli??

Trump anawajua hao na huwa anawaambia na alishawahi kutaka kuwaondoa kwenye press zake.

Turst ni subjective term, usipotrust wewe au Trump haimaanishi hakisemi kweli wala wengine hawaamini pia! Kwani Tanzania hamna vyombo vya habari? Kama vipo wangapi wanavitrust? Je ni wote? So akisema mtu mmoja not trustable hayo ni maoni yake na sio standard watu wote wakubaliane naye kijana
 
CNN sio trusted source , ondoa hilo neno.

Au unafikiri kila anachokisema mzungu ni kweli??

Trump anawajua hao na huwa anawaambia na alishawahi kutaka kuwaondoa kwenye press zake.
Nafikiri sasa tupo kwenye mtazamo sana na wewe ndugu,
Hao CNN sio watu wakuaminika 100%.
Binafsi sisemi report Yao mbaya ila, inawezekana kilichotokea kuhusu ukatili, mauaji n.k kwa watanzania ni kikubwa kuliko hiyo report ya CNN
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…