valet de chambre
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 1,258
- 1,438
Mkuu, issue ya To do Cemetery CNN walichofanya walichofanya ni kuonyesha picha ya satellite ya eneo husika before and after. Hiii ni kazi kubwa TBC hawawezi hii.Inaweza ikawa mpya kwako, ila hizo tetesi zilikuwepo mda mrefu na tetesi nyingine ilihusisha kiwanda Cha Twiga cement,
Kuna Uzi humu JF ukahoji kwamba kwanini wajerumani wameruhusu kiwanda Chao kutumika kufanyia uovu?
Kwa hilo nawapongeza CNN ndugu, ila kuhusu report yote kwa ujumla Bado najiuliza maswali mengi sana.Mkuu, issue ya To do Cemetery CNN walichofanya walichofanya ni kuonyesha picha ya satellite ya eneo husika before and after. Hiii ni kazi kubwa TBC hawawezi hii.
Tupe ww taarifa mpya.Inaweza ikawa mpya kwako, ila hizo tetesi zilikuwepo mda mrefu na tetesi nyingine ilihusisha kiwanda Cha Twiga cement,
Kuna Uzi humu JF ukahoji kwamba kwanini wajerumani wameruhusu kiwanda Chao kutumika kufanyia uovu?
Una picha ya satellite ya kabla na baada?Inaweza ikawa mpya kwako, ila hizo tetesi zilikuwepo mda mrefu na tetesi nyingine ilihusisha kiwanda Cha Twiga cement,
Kuna Uzi humu JF ukahoji kwamba kwanini wajerumani wameruhusu kiwanda Chao kutumika kufanyia uovu?
Naomba hiyo elimu, nini maana ya chombo kikubwa kama CNN kutangaza hiyo habari?Tupe ww taarifa mpya.
Hv unaelewa maana ya chombo kikubwa kama CNN kutangaza hiyo habari? Au unadhani CNN n TB
Mkuu wewe ulikuwq unajua,lakini je dunia ilikuwa inajua kilicho tokea?hii report kuruka CNN ni bonge ya jambo jipya,watawala walishazoea tuna piga kelele humu ndani yanaisha baada ya kuruka tu umeona girishoni tayari ameanza kuruka ruka huko.Na ndio kwanza shughuli ime anza.Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani.
Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors
Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina taarifa zenye utafiti wa kina na Hali ya juu kuhusu mauaji ya kinyama yaliyofanywa na utawala huu uliopo nchini Tanzani, lakini nyingi ya taarifa mlizotoa ni zile ambazo tayari tulikua nazo kabla mfano jambo la makaburi ya halaiki, mochwari n.k
Nimeandika haya sababu inawezekana haya mauaji yaliyofanywa ni makubwa na mlicho toa report ni asilimia chache za ukweli wa kilichotokea kwenye mauaji ya vijana wetu.
Swali lingine ninalojiuliza, inakuwaje report itolewe Leo na siku hiyo hiyo anatokea mtu wa serikali ovu anasema kwamba wataitolea maelezo, je ni kwamba walishajiandaa na report aina hiyo?
Lengo langu sio kukejeli, kuikataa au kudogosha report yenu ila ni kujiuliza hasa malengo ya hiyo report kwenye wakati kama huu ambao taifa lipo kwenye wakati mgumu.
Mengi ya mambo mliyo report ni tayari yalikua yanazungumzwa katika namna mbalimbali, hivyo nilitegemea kwa uzoefu wenu mngeenda mbali zaidi na kutoa report ambayo Ina uchambuzi wa kiteknolojia ulio mkubwa na utafiti wa hayo mauaji makubwa yaliyotokea kwa watanzania.
Ndugu watanzania naomba tuelewane kwamba taifa lipo kwenye wakati mgumu sana, hivyo tuwe makini na taarifa zote zinazotolewa kipindi hiki,
pia ninawapongeza CNN kwa hicho walichoonesha kwa Dunia kuhusu mauaji ya kikatili kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu, ila inawezekana walichoreport ni sehemu ndogo ya uhalisia wa ukatili, mauaji n.k yaliyofanyika kwa watanzania.
Ni kweli bro Mimi habari ya tbc,Azam,itv,channel 10 wote wahuni TU hao ila Kuna mwingine ndio chanzo chake Cha habariTurst ni subjective term, usipotrust wewe au Trump haimaanishi hakisemi kweli wala wengine hawaamini pia! Kwani Tanzania hamna vyombo vya habari? Kama vipo wangapi wanavitrust? Je ni wote? So akisema mtu mmoja not trustable hayo ni maoni yake na sio standard watu wote wakubaliane naye kijana
Ndo maana nikatoa uzi serikali iisshtaki cnn na kudai compensation ya dola bl 10 kwa uu uongo waliotoa cnn au unasemaje si tunashindaNinachojaribu kufanya sio kutoa lawama, ila kujiuliza ni kwanini report Haina taarifa za utafiti wa kina?
Sababu kwa chombo kikubwa Cha habari duniani kama CNN kinachotumia teknolojia ya Hali ya juu na watendaji wenye uwezo mkubwa, hivyo sikutegemea kuona report kama waliyotoa
Mkuu ngoja nikueleze jambo ambalo wengi nadhani hawajakueleza.Nimeandika kwamba kulikua na tetesi kuhusu mass grave huko kondo kunduchi, kwingine ni msitu wa mabwepande n.k
Upo sahihi ndugu, binafsi nimewapongeza CNN katika hili,Mkuu wewe ulikuwq unajua,lakini je dunia ilikuwa inajua kilicho tokea?hii report kuruka CNN ni bonge ya jambo jipya,watawala walishazoea tuna piga kelele humu ndani yanaisha baada ya kuruka tu umeona girishoni tayari ameanza kuruka ruka huko.Na ndio kwanza shughuli ime anza.
Ni sahihi, nakubalia na wewe katika hilo,Mkuu ngoja nikueleze jambo ambalo wengi nadhani hawajakueleza.
CNN hawawezi kuja na jambo jipya zaidi ya yale yaliyotokea na uliyoyasikia.
Wao kama media wamehabarisha kilichotokea, hawawezi kuchukua kila kitu sababu vingine vitakosa uthibitisho.
Tahadhari kwa maana ipi mkuu? Tahadhari kwenye kitu gani? Kwenye hiyo habari au kwenye Nini?Ni sahihi, nakubalia na wewe katika hilo,
Ila tahadhari muhimu kipindi kama hiki hasa kwenye hii Dunia ya kibepari
Taarifa ya uchunguzi ikitolewa na chombo mahiri kama CNN kwa Dunia inakuwa CREDIBLE na sio UDAKU! Hufanya kazi zao kwa umakini na sio kubabaisha.Kwa uelewa wangu ni kwamba CNN ni chombo kikubwa cha habari duniani chenye makao makuu kwenye nchi yenye teknolojia ya juu sana duniani Marekani.
Soma > PostGE2025 - CNN Evidence: Tanzania Police Killed Protestors
Nikirudi kwenye report yenu mliotoa Leo nilitegemea mngetoa report ambayo Ina taarifa zenye utafiti wa kina na Hali ya juu kuhusu mauaji ya kinyama yaliyofanywa na utawala huu uliopo nchini Tanzani, lakini nyingi ya taarifa mlizotoa ni zile ambazo tayari tulikua nazo kabla mfano jambo la makaburi ya halaiki, mochwari n.k
Nimeandika haya sababu inawezekana haya mauaji yaliyofanywa ni makubwa na mlicho toa report ni asilimia chache za ukweli wa kilichotokea kwenye mauaji ya vijana wetu.
Swali lingine ninalojiuliza, inakuwaje report itolewe Leo na siku hiyo hiyo anatokea mtu wa serikali ovu anasema kwamba wataitolea maelezo, je ni kwamba walishajiandaa na report aina hiyo?
Lengo langu sio kukejeli, kuikataa au kudogosha report yenu ila ni kujiuliza hasa malengo ya hiyo report kwenye wakati kama huu ambao taifa lipo kwenye wakati mgumu.
Mengi ya mambo mliyo report ni tayari yalikua yanazungumzwa katika namna mbalimbali, hivyo nilitegemea kwa uzoefu wenu mngeenda mbali zaidi na kutoa report ambayo Ina uchambuzi wa kiteknolojia ulio mkubwa na utafiti wa hayo mauaji makubwa yaliyotokea kwa watanzania.
Ndugu watanzania naomba tuelewane kwamba taifa lipo kwenye wakati mgumu sana, hivyo tuwe makini na taarifa zote zinazotolewa kipindi hiki,
pia ninawapongeza CNN kwa hicho walichoonesha kwa Dunia kuhusu mauaji ya kikatili kwa ndugu, jamaa na rafiki zetu, ila inawezekana walichoreport ni sehemu ndogo ya uhalisia wa ukatili, mauaji n.k yaliyofanyika kwa watanzania.
Tahadhari kuhusu malengo ya report mbalimbali zilizotoka au zitakazotoka kuhusu mauaji ya ndugu zetu.Tahadhari kwa maana ipi mkuu? Tahadhari kwenye kitu gani? Kwenye hiyo habari au kwenye Nini?
Kwani we jamaa unataka Nini mbona hueleweki? Mara report waliyotoa wewe mwenyewe unakili sio mpya kwako then tena unasema pengine Wana lengo la kutochonganisha mara hukutarajia report iwe ndogo hivyo sasa wewe ulitakaje??naona wewe umetumwa kupima kitu Fulani..........Nafikiri sasa tupo kwenye mtazamo sana na wewe ndugu,
Hao CNN sio watu wakuaminika 100%.
Binafsi sisemi report Yao mbaya ila, inawezekana kilichotokea kuhusu ukatili, mauaji n.k kwa watanzania ni kikubwa kuliko hiyo report ya CNN
Relax Mzee, soma taarifa yote mwanzo utanielewa, pia nikuweke sawa kwamba hamna sehem niliyosema kwamba wanalengo la kutuchonganishaKwani we jamaa unataka Nini mbona hueleweki? Mara report waliyotoa wewe mwenyewe unakili sio mpya kwako then tena unasema pengine Wana lengo la kutochonganisha mara hukutarajia report iwe ndogo hivyo sasa wewe ulitakaje??naona wewe umetumwa kupima kitu Fulani..........