Moja kati ya sector zinazokuwa kwa kasi barani Africa ni fashion na entertainment. Pia nimoja ya sector inayo tengeneza multimillioners wengi Africa. Ma makeup artists wamejizolea sifa yakushiliki katika hivyo vitengo vyote viwili kwani wanaumuhimu mkubwa sana. Kwa upande wa Kenya wameonyesha kutuzidi sisi Tanzania kwenye swala la makeup artist na Africa Masharikï kiujumla.
Then who is Susan Kamene??
Huyu dada ni moja kati ya Makeup Artist maharufu na anae kuja kwa kasi Africa Mashariki na kati hadi kupata kuweza kuhojiwa na kituo kikubwa kama CCN kupitia kipindi cha African Voices. Amesha fanya kazi na wasanihi wamziki wakubwa kama Sauti Soul Kenya, Vanessa Mdee na Jux Tanzania. Pia ameshiriki katika fashion shows, weddings na parties tofauti kama Makeup Artist nchini Kenya.
Pongezi kwake na wakenya kiujumala kwa kututoa kimasomaso Africa Mashariki kwenye bara la Afrïca. Juhudi zake ni msïngi wa maendeleo yetu sote hadi kuweza kuonyeshwa na kituo kikubwa duniani kama CNN. Follow her on social media by the name susankamene. EA kwanza. WA na SA baadae. Let us support our artist.