NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 14,267
- 14,890
HahahaPunguza kelele and watch CNN.
Ndio wengine wanasherehekea direct flights to Kigali in 2018.vizuri kabisa....waafrika mashariki wanaosafiri kwenda marekani itabidi wapitie Nairobi...watalii wa Marekani wanaoelekea uganda, rwanda, na kadhalika itabidi wapitie Nairobiππnow that is what we call a kick right in the nuts or genitalia...ndio umuhimu wa kuwa gateway hub...there is no escaping the long arm of East Africa's largest economy
Pwahahahaha....its called lanes my friend...we arent in the same lanes with these ldcsNdio wengine wanasherehekea direct flights to Kigali in 2018.
πππ
Kama ilivyo taabu kwa Ngiri kuficha meno yake, Hivyo ndivyo ilivyo taabu kwako kuficha uraia wako wa Utanzania. Kuwa na wakati mwema.haya wekeni Jiwe la msingi kwa R. Quest halafu mu-mzindue rasmi
Punguza kelele and watch CNN.
Mliwasamee Hot Bed Of Terror?Hahaha
ππKama ilivyo taabu kwa Ngiri kuficha meno yake, Hivyo ndivyo ilivyo taabu kwako kuficha uraia wako wa Utanzania. Kuwa na wakati mwema.
kitaaaambo yani hukujua?Mliwasamee Hot Bed Of Terror?
Sio lazima, kwanza with poor service utawapata wasiojua tu. You can't even book a seat when buying a ticket only when your checking in, (Personal experience).vizuri kabisa....waafrika mashariki wanaosafiri kwenda marekani itabidi wapitie Nairobi...watalii wa Marekani wanaoelekea uganda, rwanda, na kadhalika itabidi wapitie Nairobiππnow that is what we call a kick right in the nuts or genitalia...ndio umuhimu wa kuwa gateway hub...there is no escaping the long arm of East Africa's largest economy
Sio lazima, kwanza with poor service utawapata wasiojua tu. You can't even book a seat when buying a ticket only when your checking in, (Personal experience).
Top 63 Reviews and Complaints about Kenya Airways
Maumivu tu, pole bro.... Juzi nimeburudika kwa kitafuno cha sandwich ndani ya KQ iliyokua imejaa kweli kweli tokea Dar and Nrb, mnalalamika huku mitandaoni lakini kiukweli mnajazana hadi siti zinaisha.
Haha, halafu tunawalipa na hela hii hii ya madafu na mnaipokea kwa mikono miwili.
hahahaha...as always speaking nonsense...watalii wenu watapitia papa hapa nairobi upende usipende..waganda, wanyarwanda, wasomali na watz watatumia kq...na ukiumwa sana meza wembe ufeππmtakapo launch flights zenu mje tuzungumze ila sasa hakuna kitu unaniambia...hayo mambo ya sijui quality makelele tuSio lazima, kwanza with poor service utawapata wasiojua tu. You can't even book a seat when buying a ticket only when your checking in, (Personal experience).
Top 63 Reviews and Complaints about Kenya Airways
fixed.....hahahaha...as always speaking nonsense...watalii wenu wanapitia hapa nairobi upende usipende...ukiumwa sana basi meza wembe ufeππ
true....and after these flights are launched they will only increase......fixed.....
Mtulipe tu, japo pale exchange rate ndio maumivu yote, yaani natoka Tanzania mfukoni nina milioni mbili za hayo madafu usitake kujua zilivyopunjwa wakati wa kuzibadilisha into Kenyan shillings.
Msitulaumu sisi kwa maisha yenu Kenya kuwa magumu, kitu kidogo unapewa bei ya kufa mtu, khaa.