ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Nimeshangaa baadhi ya waandishi na wachambuzi wa mpira kuhusisha usajili wa coach Miloud Hamdi na undugu wa Yanga na Singida.
Watu hawa wana uelewa mdogo
Hii ni professional football watu wanajali pesa hawapo kwenye hizi timu kuuza sura, hii sio amateur football
Morinho amefundisha timu 3 za England Chelsea, Manchester united na Tottenham Hotspur na wala hapakuwepo maneno ya undugu kutoka hizo timu
Simba waliwachukua wachezaji dozen kutoka Azam Kapombe, Manual, Wawa, Bocco na Nyoni na watu tuliona ni biashara ya kawaida labda wachezaji walifata maslahi Yao Simba
Pia Simba ishawahi kumhamisha Ngasa kutoka Azam ila watu hawakujadili urafiki wao,
Tujikumbushe uhamishi wa Ramadhani Singano na Mafisango kutoka Azam ila watu hatukujali kuwa Kuna undugu au Azam ni tawi la Simba
Pia Mgunda alichomolewa Coast union chap na msimu ukiendelea kuja kuwa coach Simba, hapa wachambuzi hawakuongelea Coast union kuwa tawi la Simba Bali Leo ndo wanashangaa.
Soma Pia: Yanga yavunja rasmi mkataba na Sead Ramovic. Na kumtangaza Kocha wake mpya, Miloud Hamdi
Singida Black Star ni timu ya mpira wala sio tawi la Yanga maana Simba walimnunua Kagoma kutoka hiyo Singida pia waliwauza akina Kagere, Mwenda, Kennedy Juma, Onyango, Gadiel Michael n. K kwenda SBS ila hakuna aliyesema Singida ni tawi la Simba
Karibu timu ya wananchi coach Miloud Hamid
Yanga Bingwa