Coastal Union 1-2 Simba SC| Uwanja Wa Mkwakwani - Tanga| Ligi Kuu ya NBC

Simba tunatengeneza nafasi nyingi sana za kufunga kuliko timu yoyote ligi kuu isipokua tatizo ni uwiano wa kuzi convert kuwa magoli ndio inakua mtihani
Hapo sasa ndio anatakiwa mtu kama Adebayo au Moses Phiri.
 
🀣🀣🀣🀣
Hawa marefa wetu AFCON na Word Cup final watazichezeshea kwenye screen za TV pekee. Sasa hapo Goalkick imetoka wapi? Ni labda goal au mpira ungeendelea kuchezwa kama mpira haukuvuka mstari wa goli
Yaani tafsiri yake ya goal kick ndio iliyo tuacha vinywa wazi

Mpira uko uwanjani lakini umewekwa uanze kama goal kick
 
🀣🀣🀣🀣
Hawa marefa wetu AFCON na Word Cup final watazichezeshea kwenye screen za TV pekee. Sasa hapo Goalkick imetoka wapi? Ni labda goal au mpira ungeendelea kuchezwa kama mpira haukuvuka mstari wa goli
Daaaah pale cjaelewa kbsa duuh hawa marefa wa kibongo mtihani sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…