Coastal Union 1-2 Simba SC| Uwanja Wa Mkwakwani - Tanga| Ligi Kuu ya NBC

Yaani Makolo wamalize mechi bila timu pinzani kupewa red card, haitokaa itokee.
 
Ni kweli maana msako wetu lazima uchanganyikiwe ufanye faulo za kizembe
Timu yenu inahitaji maboresho Sana kwenye midfield na beki, mmecheza hivyo Sana, Coast wamewazidi mbali.
 
Mwenye fixture ya simba ya mwezi huu jama msaada.
App yangu inanambia hana match mpaka tar 17, ni app ya mchongo au ni kweli hii??
 
Kwa Sasa simba hatuna mshambuliaji nguli wa uhakika. Waliopo wote wamezeeka. Boko, Kagere na pacha wake wa DRC
 
Kwa Sasa simba hatuna mshambuliaji nguli wa uhakika. Waliopo wote wamezeeka. Boko, Kagere na Mugalu.
 
Gooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaalllllllllllllllllĺlllllllllllllll Kagereee baba.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Utopolo wa kuhurumiwa Tena ile ilikua
Peanut ya kuumangia ubwabwa
Siyo Penalty!
Kwakweli ile ni peanut. Ingekuwa Simba wiki nzima hii mitandaoni na wachambuzi wa bahasha wangechambua hilo tuta la Chamazi na refarii kuitwa wa mchongo.

Subiri sasa wiki yote Uto na wachambuzi bahasha watachambua red card (kadi nyekundu) ya Kosto Yunioni na kuacha kuongelea goli la Simba lilogeuzwa goal kick🤣
 
Ni kweli maana msako wetu lazima uchanganyikiwe ufanye faulo za kizembe
Timu yenu inahitaji maboresho Sana kwenye midfield na beki, mmecheza hivyo Sana, Coast wamewazidi mbali.
 
Kwa hili pila gimbi tar 30 hawachomoki hawa.
Na kama wanategemea tugoli twa bahati kama haka ka leo aisee maji wataita mma hiyo siku.
Hatuna beki mbovu kama coastal.
Subirini tuje tuwahenyeshe wazee wenu kina Saido, bangala na Aucho, tulicheza na nyinyi game ya kwanza tukiwa na majeruhi wengi na bila muunganiko wa kikosi subirini muone Simba anavyocheza kijihadi match muhimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…