wamezingua sanaMeza ya KimataifaView attachment 2179060
Akina Osie wenzangu, piga hao Mikia Fc ili wapoteane kabisa kwenye ligi 😬😬😬Mnyama mkalii 🦁 piga hao kina Osie
Kila la kheri mnyama
Wekundu tumepoa sana! Tulitegemea game ya jana azam afanye kitu, ila kafanywa yeye! Mpaka sasa naona recreativo do utopolo la misukule wanaukaribia ubingwa wetu! Dah azam wametuvunja nguvu then.
Nyau nyau 24'Update
Ngapi ngapi huko. Maana naona uzi umetelekezwaKaribuni Kwenye Kandanda Halisi, Biriani Mapochopocho baada Ya Jana Kushuhudia 'Papatu papatu' La Wana Utopolo..
Kweli kabisaKaribuni Kwenye Kandanda Halisi, Biriani Mapochopocho baada Ya Jana Kushuhudia 'Papatu papatu' La Wana Utopolo..
Mikia hawana hata nguvu za kukomenti,wanasubilia goal.........Ngapi ngapi huko. Maana naona uzi umetelekezwa
Na ninyi wakifunga goli mnafunga midomo na kusoma threads za mapenzi. Mnajifanyaga kama huu uzi hamuuoniMikia hawana hata nguvu za kukomenti,wanasubilia goal.........