Coastal Union 1 Azam 0

Coastal Union 1 Azam 0

GAZETI

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
5,286
Reaction score
6,736
Ndio mpira umemalizika uwanja wa Mkwakwani Coastal wakiwa wamepata ushindi wa
goal 1 kwa mtungi, Hongera sana Coastal.

Goli limefungwa na Miraji Adam dk 65
 
Basi tena, sasa naona Simba tumerudi, mechi ijayo najua ndala wana point tatu zetu, azam tukikutana nao tunapiga kisha maisha yanaendelea kama inavyotakikana!
Jama simba imeshinda, manu kapigwa, ARSENAL leo kashinda, leicester kapigwa, azam kapigwa, siku yangu itakamilika kama spurs na mancity watadroo, ila ni weekend nziri sana!
 
Yaani hapo kaka tumefanana kila kitu kasoro tu wewe ni shabiki wa CCM....😀😀😀😀😀
 
Mimo sio shabiki wa sisiemu, ni wa Magufuli na pia nimeamua kumsapoti yeye na mfumo wake sababu niliona ukawa wananizingua zaidi na misimamo yao!
Ila tuko pamoja ktk michezo!
 
Kitenge katokomea gizani anasubili Simba ikiharibu ndo aibuke na amekuwa akibeza wanaotuma ujumbe unaoibeba Simba au kubeza mwelekeo wa Yanga/Azam. Anatoa majibu mkato kujibu sms zinazosomwa kwenye kipindi na Dada Tunu....na bado
 
Yaani hapo kaka tumefanana kila kitu kasoro tu wewe ni shabiki wa CCM....😀😀😀😀😀

duh,we mdau tumefanana kila kitu
mwambie Hot ice aachane na 'mzee wa kushangaa'
 
Mimo sio shabiki wa sisiemu, ni wa Magufuli na pia nimeamua kumsapoti yeye na mfumo wake sababu niliona ukawa wananizingua zaidi na misimamo yao!
Ila tuko pamoja ktk michezo!

Shabiki wa magufuli ni shabiki wa ccm. Usizingue.
 
Back
Top Bottom