Coastal Union vs YANGA

Leo tunaweza lala sijui mikia watasema tumelala kwa sababu ya kubebwa
 
Update | robo fainali CHAN 56' Mins Rwanda 1- 1 DR Congo.
 
55' Mins | CST union 1 - 0 Yanga
Miraji Adam 27' Mins ( Coastal Union)
 
Hivi sub ya msuva haipo au huyu kocha hamuoni? Inabidi amuonye au amtoe nje
 
59' Mins | CST union 1 - 0 Yanga
Miraji Adam 27' Mins ( Coastal Union)
 
Gooooooooooooooooooo....CST union bao la Pili limefungwa na Musa Mahadhi
 
62' Mins | CST union 2 - 0 Yanga
Miraji Adam 27' Mins ( Coastal Union)
Juma Mahadhi 61' Mins (Coastal Union)
 
Pamoja na kuchezesha dk 99 lakini hazikusaidia. Sana sana mbeleko imeleta kadi nyekundu ya Yondan
 
Poleni Yanga, na mchangani soka linachezwa ... tena vizuri tu
 
Hongereni Yanga! Mpira si mbeleko za kuhonga marefa.Dakika 102 zimeonyesha jinsi msivyostahili.
 
Umetekwa? viherehere Vya kuanzisha thread wakati litimu lako ninakalia libolo...[emoji53]
 
Poleni Yanga, na mchangani soka linachezwa ... tena vizuri tu
Hii safi sana Jana msemaji wao aliongea mbovu sana kwa wanatanga eti tanga ni karata, bao na mapenzi mpira hakuna kitu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…