Danielmwasi
JF-Expert Member
- May 3, 2021
- 2,134
- 3,834
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Klabu.Kwa sasa anaefanya usajiri Simba ni nani?
Sahihi kabisa. Hawa viumbe ni ndugu wa damu kabisa. Watatofautiana, mwisho wa siku watapatana.Simba na coastal ni ndugu, ugomvi wa ndugu hauingiliwi.
Atakuwa ni Ahmed Ali. Maana ndiyo yeye aliyemtangaza.Kwa sasa anaefanya usajiri Simba ni nani?
Kauli hiyo ingetoka kwa mmiliki wa timu/CEO wao ingekuwa na nguvu...atulie watamfahamisha
pesa ipo. issue ni matumizi mabaya na influenceMagori leo kaongea na Wasafi anasema wamewapa Coastal Union saa 24 warejeshe fedha zao. Sasa hawa Kolo kama wameshindwa kumsajili Lawi kutoka hapa hapa Bongo je wataweza kuvunja mikataba ya International Player?
Kuna janjajanja kumzidi Hers? Waulize FIFA watakupa majibu nani janjajanja Kati ya magori na Hers.Mr. Janja janja na Bw. Janja Janja aka Magori
Kabisa mkuuSahihi kabisa. Hawa viumbe ni ndugu wa damu kabisa. Watatofautiana, mwisho wa siku watapatana.