Wakuu eti ili coaster iweze kuwa inafanya Masafa marefu mfano ;mbeya-tanga nahitaji kufanya modifications gani ili isiwe inasumbua?? Hasa hasa Mitsubishi