Ingia bank mkuu fanya nao hii biashara,ukiona bank hawafanyi iyo biashara uelewe ni kwa nini waswahili tunarudishana nyuma kwa kufanya kazi ama kupeana Mali kisa undugu,huruma,upendo yaani wewe unatoa Mali yako uliyoumia kuipata kwa kupewa maneno ya huruma,undugu ama kusaidiana.
Ukitaka kufanikiwa chukua risk ambazo bank wanachukua Mana wao ndio wanaajiri watalaamu wa uchumi na pesa na wanawalipa pesa nyingi mno ili wawashauri.
Mfano hapa sijui utasemaje ukiumwa,ukifa,ukipata ajali, ukichoka kazi,siku ukilewa , ukaenda kwa demu,ukachoka kuingia job,chuma ikiharibika inahitajika 5M itengenezwe ama injini imekufa inahitajika 7M ibadilishwe.
Ingia benki uwashawishi Mana Wana hela na wanatafuta watu Kama wewe uwashawishi ili uwape namna ya kuzalisha hizo hela.
Hujasema siku ukipata mktaba wa coaster mpya mayai na ukapewa hesabu nafuu na hapa utakuwa umepewa kuu kuu ,yaani utazugaji kwa mwenye chombo ili umuache solemba uchukue ndinga mpya.
Samahani ni mawa