Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,113
Coca-Cola ni miongoni mwa vinywaji vinavyotambulika zaidi duniani, lakini wengi hawajui kuwa mwanzoni hakikutengenezwa kama kinywaji cha kawaida. Mwaka 1886, mfamasia wa Marekani John Stith Pemberton alikitengeneza kama dawa iliyodaiwa kusaidia kupunguza uchovu, maumivu ya kichwa na matatizo ya mmeng’enyo wa chakula. Baadaye, kinywaji hicho kilianza kuuzwa katika maduka ya dawa kabla ya kugeuka kuwa bidhaa ya matumizi ya kila siku na hatimaye kuwa moja ya chapa kubwa zaidi duniani.
View attachment 3643628
Kwa zaidi ya karne moja, Coca-Cola imeendelea kupanua soko lake katika mataifa mbalimbali kupitia ubunifu wa bidhaa, kampeni za matangazo na uwekezaji mkubwa katika masoko ya kimataifa. Leo, kinywaji hicho kinapatikana karibu kila kona ya dunia na kimekuwa sehemu ya maisha ya watu wengi.
NdiyoSwali moja huwa najiuliza sana, hizo coca cola za bongo kama zile za take away ndo hizo hizo zilizopo nchi nyingine kama ulaya na radha ni moja hiyo hiyo pekee?
Hazina utofauti wowote.Ndiyo
Sijui kwanini siku hizi kwenye machimbo ya chipsi watu hawazichangamkii kama zamani?Coca-Cola ni miongoni mwa vinywaji vinavyotambulika zaidi duniani, lakini wengi hawajui kuwa mwanzoni hakikutengenezwa kama kinywaji cha kawaida. Mwaka 1886, mfamasia wa Marekani John Stith Pemberton alikitengeneza kama dawa iliyodaiwa kusaidia kupunguza uchovu, maumivu ya kichwa na matatizo ya mmeng’enyo wa chakula. Baadaye, kinywaji hicho kilianza kuuzwa katika maduka ya dawa kabla ya kugeuka kuwa bidhaa ya matumizi ya kila siku na hatimaye kuwa moja ya chapa kubwa zaidi duniani.
View attachment 3643628
Kwa zaidi ya karne moja, Coca-Cola imeendelea kupanua soko lake katika mataifa mbalimbali kupitia ubunifu wa bidhaa, kampeni za matangazo na uwekezaji mkubwa katika masoko ya kimataifa. Leo, kinywaji hicho kinapatikana karibu kila kona ya dunia na kimekuwa sehemu ya maisha ya watu wengi.
Hapana.Swali moja huwa najiuliza sana, hizo coca cola za bongo kama zile za take away ndo hizo hizo zilizopo nchi nyingine kama ulaya na radha ni moja hiyo hiyo pekee?