Hivi soda ya CocaCola,fanta .nk zina quality ile ile Dunia nzima?Nipe Elimu ya hili suala tafadhali.
hizi za bongo hazina ubora kama za ulaya
maji ya bongo sio masafi kama ya ulaya halafu maji hayafanani kule ni top quality huku ni low quality
ni ujinga kusifia vya ulaya
ni ujinga kusifia vya ulaya
Fomula ni moja tu inatumika kutengeneza hivyo vinywaji dunia nzima
Hoja ya maji haina mashiko sababu hata wakitumia maji ya baharini au ya chooni basi yatakuwa treated kuwa pure water kabla hayajachanganywa
Ni hisia tu