Cocastic acha ulimwengu ujue nimeshindwa kuvumilia!

Status
Not open for further replies.

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2021
Posts
3,977
Reaction score
5,339
Habarini nyote!

Ni jioni tulivu, nimetafakari sana nyuzi za vijana humu wakifunguka ya moyoni kwa 'crushes' wao wa kimapenzi. Upendo ni kama sumaku na ni kama bahari ukizama umezama.

Ilikuwa ni mwaka 2020, mwaka ambao nilimfahamu mrembo huyu machachari afahamikaye kwa jina la Cocastic almaarufu Coca!

Binafsi nimeoa na nina familia, nampenda mke wangu na nipo katika umri wa uzee. Ila uzee si hoja na haunizuii kufunguka ya moyoni leo hii kwa Cocastic!

Cocastic sitaki kukuambia nakupenda, unajua ninachomaanisha. Najua hutoshangaa, sababu unaijua.

Ukiwa tayari nitakuoa mke mdogo wa pili. Usiogope hata.... mke wangu anakujua na anajua sana tu kuwa nakupenda na nataka nikuoe mke wa pili, ingawa mimi ni Mkristo.

Siongei mengi!.

Njoo tuufurahie ulimwengu mrembo.!

NB;
Maneno ndani ya funga semi ni ya lugha ya kiingereza.
 
Mamaaaaaa yarabi Mtumeeeeeeeeeeeeee
Kijana anataka kupita backdooor live bila chenga 😬😬😬😬 πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†πŸ™†
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…