Niko good mkuu. Sema Uzi mgumu huu, ngoja nikuachie.Mkuu wa meza hujambo?
Okay umejibu vema. Ungesoma uzi kwa makini kabla ya kuhukumu. Hayo alitakiwa aseme Coca siyo wewe.Ungekuwa unajiheshimu usingeandika ulichoandika. Na hata huyo unayemuongelea, kama kweli angekuwa ni mwanamke, basi kwa heshima ungemfata pm.
Na kuhusu hiyo heshima unayosema unayo kwangu, wala siitaki mkuu.
Tulia dogomzee wangu Mkulungwa01 utawezana mikito na hawa vijana?? [emoji23]
Ila wewe bado wacha na mimi nitupie sindano kwakoNaona madem wote wa humu wamekamatiliwa mmh mmh mmh aU aUu Au??!![EMOJI848]
ENdeleeni nao nakwaheriniNiko good mkuu. Sema Uzi mgumu huu, ngoja nikuachie.
nasubiria nione nani atakuanzishia uzi wa tongozoπaisee ππππ
[emoji38][emoji38][emoji38] To yeye ni ni wa nani kweli?![emoji3]Hongera mkuu Mkulungwa01 . Mm pea Leo nikeshindwa kulala jamani Bora nikusanue tu Saint Anne NAKUKUNDAAAAA.
umeisha anzishiwa uzi au badoaisee ππππ
Dume hilo piaIla wewe bado wacha na mimi nitupie sindano kwako
Au unaonaje??
ananipenda tu hata bila uzi,,nasubiria nione nani atakuanzishia uzi wa tongozoπ
ahraaa! Mnaupiga mwingi!!!!!!!!!!Mimi ni maarufu kitambo kijana. Huyu binti nampenda na nimesema hadharani baada ya kuiga mfano kwa vijana hawa IamBrianLeeSnr na Intelligent businessman
Ni Bure tu, ila mpaka ombi lipitishwe na kamati πHivi kukufungulia thread ni bei gani kwani?
Noma sana! π€£π€£π€£Naona LGBTQ kwenye ubora wenu.
Why usimfate pm?