Cock ring

Cock ring

Umwami

Senior Member
Joined
Apr 10, 2012
Posts
123
Reaction score
68
Ndungu wana jamii ninaomba mnisaidie ninahitaji COCK RING nitakipata wapi kifaa hiki, ninakihitaji sana kutokana na hali yangu.
ahsanteni kwa wote mtakaojitokeza ktk hili hitaji langu.
 
Nazani rahisi zaidi kupata ni katika hospitali au katika dispensary maana hapa nazani utahitaji ushauri pia kutoka kwa wataalamu jinsi ya kutumia au pia kuelekezwa kwamba kutokana na maumbile yako hauhitaji ring.Kila la heri.
 
Back
Top Bottom