jimmy jimble
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 216
- 216
asante sana joanahThe cheaper the better
Changanya juice zile za kuchanganya na maji katika ndoo kubwa mbili pamoja na mizinga kama mitatu hivi ya konyagi kila ndoo
Yeah, umix juice na maji then mizinga mitatuasante sana joanah
so niwe nishamix juice na maji ndio naweka bapa kubwa tatu kila ndoo.nitajaribu hii
Asisahau k vant na kirobaYeah, umix juice na maji then mizinga mitatu
Joanah umenifanya nicheke maana mchanganyiko wako hauna gharama kabisa duh!The cheaper the better
Changanya juice zile za kuchanganya na maji katika ndoo kubwa mbili pamoja na mizinga kama mitatu hivi ya konyagi kila ndoo
Hiyo k vant hadi nimeenda kuigoogleAsisahau k vant na kiroba
HahahhahhJoanah umenifanya nicheke maana mchanganyiko wako hauna gharama kabisa duh!
Yaani huwezi amini jumapili nimepiga bapa na jamaa si nikazima moja kwa moja mpaka j3 ile kuamka saa sita mchana,ataua watu huyu kwa mchanganyiko huoHahahhahh
Kasema anataka kuokoa pesa&watu watakuwa wengi
HahahahahYaani huwezi amini jumapili nimepiga bapa na jamaa si nikazima moja kwa moja mpaka j3 ile kuamka saa sita mchana,ataua watu huyu kwa mchanganyiko huo
Mambo ya pombe yana changamoto zake,tulianza na vibia vyetu vidogo dogo akaja jamaa akasema mbona mnapoteza raha ngoja niwaoneshe raha ya pombe,akaleta lile konyagi kubwa mil 750 na tonic water pamoja na ice,niliona raha tu maana sikuisikia radha ya konyagi maana tonic tamu mhm kumbe inanichukua taratibu mpaka yakanikuta,bapa kwa kweli hapana imenifanya mbaya ndio maana naogopa atawalewesha,akubali gharama tu hakuna namnaHahahahah
Mimi hayo mambo ya pombe ndio yalishanishinda
Huu mchanganyiko hauwezi kuwaua bhana maana naona watu wengi huku huwa wanafanya hivyo hivyo katika birthday zao
Hakuna mwenye muda wa kuwanunulia wines wageni wengi
inakua fresh sana mkuu mana hilo jina limenivutia hata mahitaji piaChanganya limao (kata kata vipande), + ice rocks, and Smirnoff. Hapo utapata kitu kinaitwa love booster
View attachment 473075
mwanzon nlitaka kukuamin kumbe muuajiKonyagi+K vant Majani ya chai+ +Maji ya betri + Ugoro na Upupu kwisha habari hapo