Niliikuta sehemu hiyo, hapa hapa bongo. Kuna wakenya wanatengeneza hiyo, sasa nikaona ghalama kila nikitaka kuburudika inabidi nieende kwao, nikawaomba wanipe mchanganyiko wa love booster niwe nachanganya mwenyewe. Nami mikamuelekeza sheji yako mdogo wa chuo, akawa anatengeneza kinywaji cha mzee. Hahahaaaaa