Mzalendo07
Member
- Feb 24, 2014
- 71
- 120
Nenda ununio Coco beach kuchafu Sana hata usalama ni mdogo...!!!
Ni Tanzania pekee imejenga soko kwenye bichi, kisa uroho wa kura!Yaani ningekuwa kiongozi mwenye mamlaka nilichokiona jana ,
Leo ningeamkia kwa halmashahuri ya Kinondoni nijuwe tatizo liko wapi na niwapeleke mpaka eneo la tukio washuudie wenyewe halafu waseme kama ni sawa kuwa na beach kama Coco iliyokuwepo maeneo ya Uzunguni kuwa chafu kama ilivyo wakati kuna wafanya biashara kibao wanafanya biashara pale na wanalipwa ushuru. Hizo hela zinaenda wapi?
Na wanashindwa nini kuwaambia awo wafanya biashara wafanye usafi kwenye eneo lao kabla hawajaanza biashara zao.
Nenda mpaka Tazara kisha panda gari inayokwenda Sentro Polisi halafu chukua ya Ostabei polisi ulizia hapo Kingai atakusaidia.
Tukiachana na kutuambia kuwa Coco Beach ni pachafu vipi pia na Nyumbani Kwako unakoishi Mkuu na kwenyewe ni Kusafi kabisa?Yaani ningekuwa kiongozi mwenye mamlaka nilichokiona jana ,
Leo ningeamkia kwa halmashahuri ya Kinondoni nijuwe tatizo liko wapi na niwapeleke mpaka eneo la tukio washuudie wenyewe halafu waseme kama ni sawa kuwa na beach kama Coco iliyokuwepo maeneo ya Uzunguni kuwa chafu kama ilivyo wakati kuna wafanya biashara kibao wanafanya biashara pale na wanalipwa ushuru. Hizo hela zinaenda wapi?
Na wanashindwa nini kuwaambia awo wafanya biashara wafanye usafi kwenye eneo lao kabla hawajaanza biashara zao.
Kama usafiri wa dala dala nenda mpaka simu 2000 mawasiliano ukifika pale panda gari za kwenda masaki kashukie kituo kinaitwa macho hapo chukua bajaji hadi coco beach ni mia tano tuu
Loo! Mbona unamshusha mbali hivyo badala ya kumshusha karibu na hosteli za Muhimbili au shule ya IST mtaa wa Ruvu.Kama usafiri wa dala dala nenda mpaka simu 2000 mawasiliano ukifika pale panda gari za kwenda masaki kashukie kituo kinaitwa macho hapo chukua bajaji hadi coco beach ni mia tano tuu