Sio kwa vihere here vile jaman au tatizo ni kampani huna au ni niniiiYe mwenyewe katukubali tunachangamsha uzi wake,wengine tu ndo viherehere humu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Habari yako dada[emoji23]
Hapo sasa ona sahivi kule kulivyo pooza [emoji57] [emoji57] [emoji57]Ye mwenyewe katukubali tunachangamsha uzi wake,wengine tu ndo viherehere humu
Huu uzi wetu ujue sio wa interview ebu ongea hukooo[emoji106] [emoji106]
[emoji23][emoji23][emoji23]Daaaah
Ngachokaa kukaa kimyaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawaonaga halafu carba akija huku ana mkana mwenzake si haki ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kule hakuna jipya bora tubaki hukuhuku ili wajue thamani yetu[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kule mpaka sa 12 na 30 [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] tuendelee na uzi wetu
T hajamuacha wii salama kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwendo wa emoji tu woiiiii kupatwa kwa dada kweli wanadamu kiboko
Hata sielewi kwakweli watu wametoa povu kwenye uzi wa ff hadi raha,eti tunaharibu interview wengine wanashindwa kufuatilia[emoji23][emoji23]Sio kwa vihere here vile jaman au tatizo ni kampani huna au ni niniii
Nishafika ila mkojo ndo hautoki[emoji23] [emoji23] [emoji23]Wahi central mwenyewe[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Daaaah
Ngachokaa kukaa kimyaaaa
We huoni mwenyewe kaja kutuita huku,uzi umepoaHapo sasa ona sahivi kule kulivyo pooza [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Mmh jana nilikuwa kwa kuchelewa mdog wangu povu hilo lilitolewa kituo ganiJana mama watu walitoa povu hivi tunavyochat ujue
Tatizo hawana jipya [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio kwa vihere here vile jaman au tatizo ni kampani huna au ni niniii
Itabidi atumilikishe kabisa huu uziHalaf huku lazima turudi mjue ndio kiwanja cha nyumbani uzi watu huu
Mmmh mbon leo viimoji tu dada[emoji106] [emoji106]
Ogoha wanadamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwendo wa emoji tu woiiiii kupatwa kwa dada kweli wanadamu kiboko
Povu lao la sabuni ya mkopo wala halinichafui[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata sielewi kwakweli watu wametoa povu kwenye uzi wa ff hadi raha,eti tunaharibu interview wengine wanashindwa kufuatilia[emoji23][emoji23]
Watu wanawivu khaa
Walimwengu sio wemaLeo ni emoji tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]