Ngoja nikawatafute najua pakuwapata hawa watuNumbisa nilimuona asubuhi emmyta sijamuona leo
Abee[emoji23]Rudi hapa
Yaan leoSasa leo tumuoneshe mfano[emoji23] [emoji23] [emoji23]
KabisaaaWaachieni wajuaji kule
Utazoea tuuMe sijui kama nitaweza[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Afadhali Aiseeee
Unaogopa povu?Mie niko poa
Mdogo unakuwa mzito leo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hujambo Mrs head
Sawa sawaNdo nimesema Leo kule hatucomment tunaenda kusoma na kurudi hapa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Niko salama my wii, sio kwa mchambo ule wa mume
Hahaha[emoji23][emoji23][emoji23]sikutegemea kwakweli
Ndioooooo watakavyosema [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muosha masefuria atatia huruma na wambea utasikia afadhali interview ya leo inaeleweka chit chat hamna[emoji23][emoji23]
Asante mdogo wanguPole dada
Wewe tena mama wa kufukua makaburiNgoja niende
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umeonaee
Kila nikituma emoj naongea mwenyewe
Halafu watu wagongea msumariNenda tu me nilisoma nikabaki nacheka maana si kwa mineno ile
Hata mimi dada ujue nimejifunza kitu unaweza kucheka na mtu kumbe unamkeraSio kwa povu la janaa, Sipendi kweeeli kumkera mtu
Itabidi uweze ujueMe sijui kama nitaweza[emoji23]
Nani amekufichaSijambo mpenz