carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,562
- 285,591
Chukua nguo ukafue mana povu la kutosha hilo[emoji23]Shoga nimeona page za mwisho mwisho tu ten wala sikusumbuka san khaa jamani
YaaaniKabisa yani kama wanatununulia bando vile[emoji57]
Watu walivyokuwa wanachit chat kweli nyani haoni la mwenzieNiliuona
Kweli kabisa kuliko kukwazana na watuHalafu mtu Mzima kutolewa povu daaah, bora nikae kimyaaaa
Hahah simuoni siku hizMfyuuuuu ili niletewe I'd ya kiume nitukanwe ila kumepooza kule aisee
[emoji23][emoji23][emoji23]basi ukhty yupoMfyuuuuu ili niletewe I'd ya kiume nitukanwe ila kumepooza kule aisee
Unaonekana wewe na kundi lako[emoji13]Watu walivyokuwa wanachit chat kweli nyani haoni la mwenzie
Kabisa kule ni kupita kimya kimya huu ni uzi wetu yaan bado hatimiliki tuuNimeyashuhudia dada looh haya kule tukapite kimyakimya leo makutano yetu ni hapa leo
Acha tuNimeyashuhudia dada looh haya kule tukapite kimyakimya leo makutano yetu ni hapa leo
Ana I'd mpyaHahah simuoni siku hiz
Ana id mpya kuna uzi nilimuonaHahah simuoni siku hiz
Huyo muoga usimtegemee kabisa ujue[emoji23][emoji23][emoji23]basi ukhty yupo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaonekana wewe na kundi lako[emoji13]
Nimewaza tu cuzoo I'd yake nyingine kajuaje kama mwifwa kala ban
Doh haaaaaaaaa cuzoo hadi wewe[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwani leo si siku ya kazi lakini
Alaaa kumbe[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Mmh. Vichwa ngumu nyie. Lol.Uuuwiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]halafu sijamuona tangu jana
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Huu uzi nahisi utakuwa uzi wetu wa kupiga story [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] uzi wa interview sio huu
Sio umekimbia povu la watu?Mmh. Vichwa ngumu nyie. Lol.
Mi niliacha wenye maswali yao wapate kuuliza ila nashangaa kimya.
Mwenzenu nakanda unga wa maandazi ndio mana nawapa likes tu si unajua maandazi ndio yananiweka mjini.
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Naomba wote tuelekee Uzi maana Wa interview ya cocochanel upo chitchat
Jf tunapita tuu mdogo wanguKweli kabisa kuliko kukwazana na watu