Aisee kwahiyo mlipewa ban wote
We mkakaNakumbuka huyu bwana mdogo alivyoanzishaga Interviews zake wabongo mlikuwa mnamponda sana kama anatafuta kiki.
Lakini leo ubunifu wake ndiyo unafanya ChitChat iwe moto moto mnataka kujimilikisha kipindi chake: Haiwezekani.
[emoji23][emoji23][emoji23]eti alipaliwaSi kuna mtu aliubugia bila kuangalia kama una pilipili au la yeye kafakamia tu matokeo yake akawashwa, kapaliwa na kuanza poromosha kashfa kwangu
Yule aliyekuwa anamsahihisha maneno[emoji87] [emoji87]Ni naniiiii
Uko dunia ipiii huyo alikuwa na chibu znz
Hujanimiss tu?ha ha hahaaa naweka nyingine matata ila naogops SMG..
Hapana jamaan na wanaonunua mikorogo yake wana moyo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Majinyenye jiki[emoji23][emoji23]
Kama jini[emoji23]Hahaha sweet kavunja rekodi jaman
Wapoo[emoji23][emoji23][emoji23]kumbe wanafuatilia kimya kimya eeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usimuulizeHapo sijajua maana nilipokula ban nikahamia kwenye vikorea mpaka ban ilipoisha. Sijui nimuulize kama nae alikula ban au atatoa povu jipya hapa hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23]eti alipaliwa
Halafu zari kama kawaida yake katema povu snap nasikiaDuuh ina maana hamisa kwisha wamehamia kwa mrembo mwingine kupambanisha na zari
Alikula ban na yeyeHapo sijajua maana nilipokula ban nikahamia kwenye vikorea mpaka ban ilipoisha. Sijui nimuulize kama nae alikula ban au atatoa povu jipya hapa hahaha
HahahaWapambane na hali yao [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Tena moyo wa chumaHapana jamaan na wanaonunua mikorogo yake wana moyo[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hauendiii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimetoka huko huko ujue.
[emoji23][emoji23][emoji23]usinikumbushe kipindi kileTena ile kupaliwa halafu unalia kabisa
Napita kimya kimya tuHauendiii
Yule aliyekusababishia ban anamihemko yake...ulimuona jana kwa ff?
Yaaani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umekuwa ukhuty