Ipo tu mkuu nenda darasa la pili A hapo jirani.
Maana huku ni darasa la pili B ni wapiga kelele.
Kuna Uzi mwingine ingia chitchatwakuu hiyo interview mbona siioni?
Kumbe, huko umeshaenda au?Huku tumeshauteka wa kwetu huu ulikuwa wa kukusanya maswali tu mshkaji wangu
Nilienda mwanzo kabisa ila unaendelea interview tunakwaza watu na chit chat zetu ndio mana tumeuteka huu uzi umekuwa wetuKumbe, huko umeshaenda au?
Asanteh mpz, ndio nimefika sio kwa uchelewaji huu
Nimerudi wapenz nilitoka kidogKabisa kule ni kupita kimya kimya huu ni uzi wetu yaan bado hatimiliki tuu
Ndo maanAna I'd mpya
Nawaona nawaona mnakula tu ubuyu[emoji106] [emoji106]Nilienda mwanzo kabisa ila unaendelea interview tunakwaza watu na chit chat zetu ndio mana tumeuteka huu uzi umekuwa wetu
Mbona siwaoni kule kwenye interview????Aaah nilijua chombezo zimepigwa marufuku leo udugu wangu njooni shunie emmyta linamo numbisa cab sakayo ney stabe woman piten huku
Kuna sehemu niliona kuwa eti mnasumbua aiseeNilienda mwanzo kabisa ila unaendelea interview tunakwaza watu na chit chat zetu ndio mana tumeuteka huu uzi umekuwa wetu
AsanteAsante, pole na wewe
Nzuri mamy, za kufichwaMimi zaidi mpendwa,za masiku?
Hawajisomi waleWanafurahia mpaka unashindwa kuelewa wapo upande gan hasa
Mfyuu hapo bichwa limekuvimbaa, kama vile namuona sakayo anavyokenuaHapana watu wanaongea sana ujue kuhusu sisi ndio mana leo unaona tupo kimya acha tuwaachie tu tuwe wasomaji sisi tunashkuru kwa kuona umuhimu wetu
Karibu ila huku ni umbea tu[emoji23][emoji23]Asanteh mpz, ndio nimefika sio kwa uchelewaji huu
Naandika matukioMfyuu hapo bichwa limekuvimbaa, kama vile namuona sakayo anavyokenua
Tabiaristi huyoNani huyo[emoji15][emoji15][emoji15]
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]Nimerudi wapenz nilitoka kidog
Carba nae alimuona me siku ya kwanza alivyoingia nilimuonaNdo maan
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]