Carba buana leo ndio nimeelewa Cole ndio shemela eenh [emoji1][emoji1][emoji1] kichwa tulikuwa tunamsingizia ujue kuna kipindia mlikuwa mnashare avatar sakayo ukuje na linamoYaani uzi unajikongoja hatari
[emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18][emoji18]Nakung'ata kabisa
Ndio hapoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Siri gani sasa wakati nimeacha mume na watoto wawiliiii kulee
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dada angu huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] hunaga siri wewe mtoto wa kike
Kweli dada [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwani uongo jamanii
UsiniambieMji kasoro bahari
Kujifunza au kuiga tuu [emoji57][emoji57][emoji57]Ney wapambane na hali yao ujue watu wanataka kujifunza eti na ubibi gagula huu kuna cha kujifunza
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mwenyewe ni mc ujue, tena wa kanda maalum
Ewaaaaaa huku ndio kwetuWanasema tunaharibu interview watu wanashindwa kujifunza
Kheri tukae huku
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah siwawezi nyie, ndo shemela unayemdanganyaga unaenda chooni sio
mmh haya mama[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] dada angu huyo
Ukhuty anapajua ndioUkhuty anapajua kwani
Usijali[emoji23] [emoji23] [emoji23] tuwe tunaitana bana kwenye shughuli tupeans maujuzi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuigaKujifunza au kuiga tuu [emoji57][emoji57][emoji57]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo nishakuambia hivyoUsiniambie
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Usijali
Ila usijejidai we mzoefu kuliko mie kwenye mikoa yangu
Tulia bhanaa asikusikie naona anagawa like humuDaah siwawezi nyie, ndo shemela unayemdanganyaga unaenda chooni sio
Uuuh nyie nimewavulia puchuUkhuty anapajua ndio
AbeeCarba buana leo ndio nimeelewa Cole ndio shemela eenh [emoji1][emoji1][emoji1] kichwa tulikuwa tunamsingizia ujue kuna kipindia mlikuwa mnashare avatar sakayo ukuje na linamo
Sehemu ipiii dada angu anakaa 77[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo nishakuambia hivyo