Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hiyo avatar na ID ya Joseverest uliyoiba utairudisha kwa mwenye nayo lini mkuu?Sawa na pia lugha unayotumia iwe nzuri kwa maana interview zilizopita niliona unahitilafiana na watu kadhaa kwa maneno makali
DuuuhHiyo avatar na ID ya Joseverest uliyoiba utairudisha kwa mwenye nayo lini mkuu?
Muosha naniliu mwenyewe katumiss ndio hivyo acha tusizidi kukera watu
kweliKumbe chit chat zinanyima watu raha wanashindwa kufuatilia interview[emoji30][emoji30]
ametembelea nyota na umaarufu wa nani??sina bifu naye
ila tabia yake ya kutembelea nyota na umaarufu wa watu inakera sana.
Shikamoo numbisa
Aisee...haya mkuu poaHao members anaowafanyia intavyuu.
Kalikuwa hakajulikani kakaona ngoja katumie mgongo wa members maarufu hasa akina dada ili na kenyewe kajulikane.
Ngoja niwaachie uzi wenu.
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Hiyo avatar na ID ya Joseverest uliyoiba utairudisha kwa mwenye nayo lini mkuu?
Swali zuri sanaUsisahu kumuuliza yeye, bashite na lemutuz wanashare ubongo? Ila kwingine wanajitegemea?
Sina maana hiyoUnasapoti nonsense!
mmh sawa NumbisaHahahaha bora umesema,huyu wa sasa sio kabisa. Yule mwingine kabla ya kupotea alikua hajui kubishana wala kutafuta wachuchu humu
Naona interview imekuibua mkuu.Mkuu, utampata 'RC' muda huu kweli? Leo umeingia 'choo cha kike'
Yameisha mkuuJoseverest rapper toka Jana mwanangu unaongea issue iyo iyo duh!