Coconut body balm

Coconut body balm

Jane Msowoya

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2017
Posts
4,302
Reaction score
7,815
Karibu mafuta mwali ya Nazi, kwa utunzaji wa ngozi na kuipa unyevu muda mwingi, mafuta haya ni mazuri kwa ngozi na nywele, wanaitumia watoto na wakubwa, wanawake na wanaume.

Yana mchanganyiko wa mafuta ya Nazi, vitamin E na shea butter ili kuipa ngozi yako nuru na unyevu muda mwingi

Yanapatikana kwa TSH. 10,000 tu 280g

Tunapatikana gongo la mboto tunafanya delivery popote


Screenshot_20230201-160836_1.jpg
 
Welldone na good luck,kwangu pls piga picha upande wa pili wenye maelezo, na pia unayo ya maji au ni ya mgando tu
 
Welldone na good luck,kwangu pls piga picha upande wa pili wenye maelezo, na pia unayo ya maji au ni ya mgando tu
Sawa ntapiga na kuweka hapa
Yamaji yapo
100ml
TSH. 5000
Ni virgin coconut oil
 
COCONUT BODY BALM

Mafuta mazuri sana kwa ngozi na nywele

Yanafanya unakuwa na ngozi yenye unyevu muda mwingi Sana
Yanalainisha ngozi
Yanafanya nywele iwe laini na kung'aza pia
Ukitumia mafuta haya sahau tatizo la kupauka,michirizi,harara

Yanatumiwa kwa watoto na wakubwa

Bei
150g
5000


300g
10,000

500g
18,000


Tunapatikana Ukonga,tunafanya delivery mpaka mlangoni

Message Cornice
IMG-20230915-WA0037.jpg
 
Back
Top Bottom