Code zimeanza kufunguka, Dkt. Mollel alivyozungumza "Anayemchokonoa Rais ni adui yetu”

DogoWaNjombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2022
Posts
3,284
Reaction score
7,708
Your browser is not able to display this video.

Hatimaye code zimeanza kufunguka, video hii ya miezi mitano iliyopita, akiwa Bungeni, Dkt. Godwin Mollel aliyasema haya kuhusu watu aliodai wanachokonoa Ikilu, kwamba yeyote anayefanya hivyo ni adui yao.

Video hii imetrend ikiwa ni muda mfupi baada ya Makamu wa Rais, Dkt Emmanuel Nchimbi kuandika barua ya kujiuzulu nafasi yake hiyo.
 
Huyu ni Chizi fulani.
 
 

Attachments

  • IMG-20260824-WA0073.jpg
    38.2 KB · Views: 11
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…