Codes 12 muhimu kwa Wanaume katika mwaka 2025

Sifanyi vitu fulani ambavyo kila mtu anashauri, Nafanya vitu sahihi tu ambavyo vinalenga kukua katika nyanja zote za maisha.
Ni kweli una paswa kuchambua pumba na mchele..
Una sikiliza ushauri ila Maamuzi ni Yako..

Ila ukweli usemwe, 2025 hamna kupigwa tena
 
Hapa ndipo vihana wengi wanafeli
 
Who cares about perfection?

Even the Moon is not perfect,it is full of craters,
The Sea is incredibly beautiful but salty and dark in the depths,
The sky is always infinite but often cloudy,

So,everything that is beautiful isn't perfect,It's special to someone,
Stop being perfect but to be free and live,doing what u love,not wanting to impress others.
 
Ni kweli una paswa kuchambua pumba na mchele..
Una sikiliza ushauri ila Maamuzi ni Yako..

Ila ukweli usemwe, 2025 hamna kupigwa tena
Binafsi siamini kwamba unahitaji mwaka mpya ili kubadilika.

Ilipaswa ubadilike punde tu ulipogundua unapigwa.

Lakini ninaunga mkono hoja yako,
we need Changes ✊🏿
 
Naomba maelezo ya kina kuhusu hizi point 2 ya6 na 10 Ahsantee.

Uzi huu uwekewe lamination ya dhahabu.
 
Hii ngoja niitengenezee PDF kabisa
 
So ni kama una lipia Papuchi..

Ila kwa sasa cha kushangaza.. imegeuka hata urafiki wa kawaida tu.. demu ana taka uwe una mtunza.
Ata taka vocha, sijui hela ya KFC,
Na hapo kutwa nzima kum post jamaa yake
Hahaaha.......ukimtaka wewe anakwmbia bize, ila akikosa nauli anakuombaπŸ˜…πŸ˜…
 
So ni kama una lipia Papuchi..

Ila kwa sasa cha kushangaza.. imegeuka hata urafiki wa kawaida tu.. demu ana taka uwe una mtunza.
Ata taka vocha, sijui hela ya KFC,
Na hapo kutwa nzima kum post jamaa yake
Siku hizi hata ile kuchati chati naye tu anataka ulipie.
 
Hiyo namba 7 umeandika kwa hasira kuliko zote...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…