Wakuu,
Naomba kwa anayefahamu anisaidie kutafsiri maana ya transaction codes zifuatazo kwenye Customer statement za Tanesco
ZBFS -
OLC -
LPP -
Bill - Hii nafikiri ni bill ya matumizi ya umeme baada ya kusoma meter.
SCPI -
REC - Hii nafikiri ni hiyo hiyo receipt ambayo ni malipo mteja analipia
DTN
DRP
CRP
Receipt - Hii nafikiri ni malipo ambayo mteja analipia bill
Nimejaribu kutafuta kwenye website ya Tanesco na hakuna kitu. Kama unamjua mfanyakazi wa Tanesco anayeweza kusaidia kuelezea maana ya hizo codes nitashukuru.