Tupe mfano mmoja baba tupone na Gargabe- Hii inabidi tuichukue kama ilivyo, Kadri ambavyo prompt yako inakuwa vyema ndio jinsi utapata kile unachotaka kiusahihi zaidi.
-Ukiwa na Prompt iliyosukwa vyema hasa ikiwa katika mtindo JSON (Structured), Haikalishi unetumia AI ipi, Utakuta majibu yanalingana kwa asilimia kubwa.
- Sababu prompt husika hairuhus AI model kufanya assumptions, maana prompt inakuwa very specific.
- Hii inabidi tuichukue kama ilivyo, Kadri ambavyo prompt yako inakuwa vyema ndio jinsi utapata kile unachotaka kiusahihi zaidi.
-Ukiwa na Prompt iliyosukwa vyema hasa ikiwa katika mtindo JSON (Structured), Haikalishi unetumia AI ipi, Utakuta majibu yanalingana kwa asilimia kubwa.
- Sababu prompt husika hairuhus AI model kufanya assumptions, maana prompt inakuwa very specific.
Nashukuru, vijana wamekuwa wabishi sana.Kama huamini twende kwa vitendo:
- Ubora wa kile unailisha AI, Ndio huleta ubora wa majibu toka kwa AI
- Ni kanuni ya msingi: Trash in Trash Out.
Kisha tutalinganisha ubora wa Majibu toka kwa AI japo 3 ( Gemini 2.5 Pro, Claude 4 na GPT-5 )
- Weka hapa prompt moja tu tuifanye majearibio.
- Nitaweka version yangu ya hiyo prompt yako.
Ndy napenda kujuwa sema sijapata mtu wakunifundishHabarini waungwana Je, Kuna mtu anataka kujifunza mql5 programming language au anataka msaada wa kutengenezewa expert advisor ya namna yeyote na mtindo wowote ule??