Mtanzanika
JF-Expert Member
- Feb 27, 2012
- 2,389
- 1,131
Asante mkuu kwa maelezo yako. Nimeweka picha ili iwe rahisi kurejea ninachozungumzia. Picha niliyoweka ni 3sge ambayo naamini ni RS200. Sasa naomba kujua kama engine kama hii zinaweza zisiingiliane coils? Maana zote zinafungwa kwenye Altezza ambapo nikitoa coils huku nikaweka kule hazikubali.Mkuu, 3S GE ya Altezza haiingiliani na 3S GE yeyote. Hiyo ni dual vvti, imetengenezwa kwa ajiri ya Altezza RS200 pekee. So kama unataka kubadilisha parts, hakikisha unatafuta ya Altezza RS200 pekee. Nyingine japo zina same name na muonekane kidogo ila ni engine tofauti.
Kama ukipata za 3sge ya RS200 zitaingiliana. Labda kuwe na ishu nyingine. Ikishindikana hapo basi tumia part number kutafuta ili upate ile ile kama uliyotoa.Asante mkuu kwa maelezo yako. Nimeweka picha ili iwe rahisi kurejea ninachozungumzia. Picha niliyoweka ni 3sge ambayo naamini ni RS200. Sasa naomba kujua kama engine kama hii zinaweza zisiingiliane coils? Maana zote zinafungwa kwenye Altezza ambapo nikitoa coils huku nikaweka kule hazikubali.