Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Tanzania kumekucha, jogoo limewika, hakuna wa kutuzuia, moto umewaka.
Nimekuwa nikifuatili coke studio 2019 nimegundu vijana wa TZ wanaburudisha ile mbaya. Huku hii ni hatua kubwa sana maana moto umewaka.
Kuna baadhi ya shows utashangaa ubunifu wa hali ya juu wa vijana hawa.
Rayvan
Harmonize
Wanawake zaidi ya watatu wimbo wa afrika
Producer Lizer